Close Menu
Mp3BulletMp3Bullet
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Editorial
    • Celeb News
    • Lyrics
    • DJs
    • Mp3bullet TBT!!!
    • Music
    • Videos
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Mp3BulletMp3Bullet
    • Home
    • Editorial
    • Celebrity News
    • Music
      • Naija
      • Videos
      • DJs
      • Ghana Songs
      • Gospel Songs
      • East Africa Songs
      • South Africa
    • Lyrics
    • Sport
    Subscribe
    Mp3BulletMp3Bullet
    Home » Harmonize – Vibaya [Music]
    East Africa Songs

    Harmonize – Vibaya [Music]

    Tolu OkeBy Tolu OkeApril 14, 2021Updated:August 25, 2022No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Tanzania singer, Harmonize unlocks a new track titled “Vibaya”.

    Harmonize – Vibaya mp3
    Harmonize – Vibaya mp3

    Singer, Harmonize comes through with a new track titled, Vibaya.

    The song is produced by Boy Beat and it is Harmonize’s official follow-up single to the song – ‘All Night‘ featuring Anjella.

    Speaking about his latest music he shared;

    “Speaking about this brand new music Harmonize shared;

    “THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART…..!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK ) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE ….!!!

    “NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII NIKAWA (HARMONIZE ) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ….!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE…!! NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPI ILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI …..!!!!!

    SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ….!!!!! NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA …!!!!

    AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ….!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU …!!!

    LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE…..!!!!!!

    KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!!

    KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ….!!!

    DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ….!!!!!ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII …!!! ISIWE“.


    • RELATED: Blaq Jerzee x Mr Eazi x Harmonize – “Falling For U” [Music]
    • RELATED: Harmonize – Anajikosha [Music]

    Listen and enjoy below!

    VIBAYA HERE

    Stay Updated with MP3BULLET via X and Facebook.
    Harmonize Hottest Naija Songs
    Latest Stories

    Burna Boy Reportedly Offers ₦200M to Portable for Boxing Match with Cubana Chief Priest

    May 20, 2025

    Banky W Earns Master’s Degree from Georgetown University

    May 20, 2025

    Davido Publicly Affirms Igbo Heritage in Response to Tribal Remark

    May 20, 2025

    Taiwo Awoniyi Breaks Silence After Injury Scare

    May 20, 2025
    About
    About

    Mp3bullet is your #1 source for the latest Nigerian and African music updates. We deliver fresh news, exclusive artist interviews, in-depth reviews, and top tracks from the Afrobeats scene. Our mission is to keep you connected with the heart of African music, offering engaging content and detailed coverage every day.

    Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp
    Sport

    Taiwo Awoniyi Breaks Silence After Injury Scare

    May 20, 2025

    The Most Successful Clubs in Europa League History

    May 20, 2025

    Ballon d’Or 2025: Organisers Reveal Date for Prestigious Awards

    May 20, 2025

    Liverpool reach agreement and will complete £30million transfer

    May 17, 2025
    Lyrics

    “R&B ” Lyrics by Davido Feat. Shenseea & 450

    April 18, 2025

    “Offa Me ” Lyrics by Davido Feat. Victoria Monét

    April 18, 2025

    “10 Kilo” Lyrics by Davido

    April 18, 2025

    “CFMF ” Lyrics by Davido

    April 18, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • About Us
    • Contact Us
    • Advertise
    • Privacy Policy
    • Terms of Use
    © 2025 Mp3bullet Media

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.